Wednesday, December 9, 2009

SHEREHE ZA MIAKA 48 YA UHURU YA TANGANYIKA

WANAJESHI WAKIWA WAMESIMAMA KWA UKAKAMAVU KABISA





Hizi ni shamra shamra za Miaka 48 ya Uhuru ambazo zimefanyika katika Uga wa Uhuru. Miaka 48 iliyopita hapa nchipo Waingereza waliposali amri na kutuacha tuwe huru. Amiri Jeshi Mkuu Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete akiingia Uwanja pamoja na kukagua gwaride. Picha kwa Hisani ya Uncle Michuzi.



MIAKA 48 YA UHURU WA TANGANYIKA

Hakika maadhimisho ya miaka 48 ya Uhuru wa Tanganyika yamekwenda vizuri. Lakini watu wanaendelea kumkumbuka Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakiamini bila ya yeye nchi isingekuwa hapo. Kwa kuwa yeye akishirikiana na wazalendo wengine walifanikisha upatikanaji wa Uhuru. Hurreee Tanganyika!!!

Monday, December 7, 2009