Wednesday, September 15, 2010

VALENCIA NJE MSIMU WOTE!!




Kiungo wa pembeni wa Klabu ya Manchester United Antonio Valencia huenda akawa nje ya Uwanja kwa msimu mzima baada ya kuumia katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya dhidi ya Rangers kwenye Dimba la Old Trafford!! Kocha Mkuu wa Man Utd amenukuliwa akisema mchezaji wake amepata maumivu mabaya sana ya kifundo cha mguu na huenda akawa nje kwa muda mrefu!!!

No comments:

Post a Comment